Mafunzo haya yalifanyika Mkoani Geita September 2016. Wajasiriamali walipata nafasi ya kujifunza mada mbalimbali za biashara pamoja na kupata maelezo ya masuala kadhaa kutoka Benki ya CRDB na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).