Tuzo za Kilimo zazinduliwa rasmi
Mchakato rasmi wa utolewaji wa tuzo hizo UMEANZA RASMI na kuishia usiku wa Aprili 22, ambapo wakulima, kampuni za masuala ya kilimo, mashirika na mtu au watu walioko wanaweza kushiriki. Fomu zinapatikana kwenye ofisi za TCCIA nchini na kwenye tovuti…