KARIBU KATIKA TOVUTI YA WAJASIRIAMALI
Ndani ya tovuti hii utapata habari zote zinazohusiana na mjasiriamali na ujasiriamali. Taarifa na habari zote zipatikanazo ndani ya tovuti hii zimeletwa kwenu kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Sekta binafsi Tanzania (TPSF) na Mfuko wa Kuendeleza sekta ya fedha Tanzania (FSDT).

Lengo la kuja na tovuti hii ni kuhakikisha kuwa wajasiriamali wanapata taarifa sahihi na za kutosha kuhusiana na masuala yahusuyo namna ya kuanzisha biashara, usimamizi wa biashara, upatikanaji wa mitaji, utafutaji na uelewa wa masoko ya bidhaa pamoja na kuwakutanisha wajasiriamali na wadau wa ujasiriamali ili waweze kubadilishana mawazo na uzoefu wa bidhaa na huduma zitolewazo. Pia mjasiriamali ataweza kujifunza kupitia mafunzo mbali mbali ambayo yanapatikana mtandaoni.

Lugha iliyotumika katika tovuti hii ni nyepesi na rahisi kueleweka na mjasiriamali. Pia mpangilio wa maudhui umewekwa kwa jinsi ambayo ni rahisi kupatikana na kutumia. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia jedwali la mawasiliano lililowekwa ndani ya tovuti hii.

KUANZISHA BIASHARA
Biashara

Sekta ya wajasiriamali (SMEs) inatambulika kama ndio sekta pekee yenye msukumo wa kuhamasisha maendeleo ya uchumi na kuimarika kwa hali za kimaisha…

UPATIKANAJI WA FEDHA
Bank+of+Bongo

Kupata mikopo siku zote kumekuwa ni jambo gumu kwa maendeleo ya wajasiriamali nchini Tanzania. Fahamu sasa taratibu muhimu zinazo hitajika…

KUENDESHA BIASHARA
IMAG8597 (2)

Inahusisha uhamasishaji wa umiliki binafsi,ujusiriamali na uwezo wa kuendana na mahitaji ya soko na mazingira ya usambazaji…

SERA, KANUNI & TARATIBU
Sheria
Usihangaike tena,Tovuti hii inalenga kukusaidia kujua na kuelewa vizuri sera na kanuni mbalimmbali za serikali zinazo gusa shughuli zako za kila siku…

MAFUNZO & VITENDEA KAZI
Mafunzo

Kuratibu kozi za mafunzo kunahitaji hatua mbalimbali,majukumu na ujuzi.Uratibu ni muhimu zaidi katika kila hatua ya ufundishaji…

JAMVI LA WAJASIRIAMALI
Forum1

Jamvi la wajisiriamali ni mahala patakapo kusaidia kujadili na wenzako juu ya mambo mbalimbali yahayo athiri biashara na shughuli zetu zakila siku…

TAFITI & UGUNDUZI
TAFITI

Portal hii inalenga kuwapa wajasiriamali na jumuia nzima ya wafanya biashara taarifa rasmi za kibiashara zilizo andaliwa vyema kupitia tafiti mbalimbali zilizo fanywa…

HADITHI ZA MAFANIKIO
Mjasiriamali

Ndugu John akielezea safari yake toka meneja miradi mpaka kuwa mkurugenzi na changamoto zote alizopitia ikiwa ni pamoja na kufanya usiku na mchana…

MATANGAZO
WARSHA
20160901 132715

Pata Kuona mafunzo yaliyoendeshwa na mradi katika mikoa mbalimbali Tanzania.

SAUTI & VIDEO
MAONI
Opinion

Je, ni habari au taarifa zipi ungependa ziwekwe zaidi kwenye tovuti hii?

View Results

Loading ... Loading ...
FURSA ZILIZO TANZANIA
Hands

Tanzania ina eneo kubwa na uwepo wake kwenye pwani ya bahari ya Hindi ni kivutio kikubwa kwa wafanya biashara wa kimataifa…

KUTAFUTA MASOKO NA WAFANYA BIASHARA
Forum

KUTAFUTA MASOKO

Upatikanaji wa masoko imekuwa ni changamoto kubwa kwa wakulima na hata wajasiriamali.

Mazao mengi kama vile nyanya, vitunguu, viazi, ndizi, matunda na mbogamboga yamekuwa yakiozea shambani kutokana na wakulima kukosa soko la uhakika la kuuza mazao hayo.

Sehemu hii itakuwa inakupatia habari mbalimbali zinazohusiana na upatikanaji wa masoko ili kukurahisishia wewe mjasiriamali kumudu kuuza bidhaa zako na hivyo kujipatia kipato cha uhakika

KUJIUNGA KUPITIA SMS & BARUA PEPE
KUTOKA KWENYE MITANDAO

Something went wrong with the twitter. Please check your credentials and twitter username in the twitter settings.

WASHIRIKA WETU
WAFADHILI WETU