Utawala wa Rasilimali Watu

Maana ya Utawala wa Rasilimali-watu Utawala wa rasilimali watu unahusisha kuongoza watu na waajiriwa wanaofanya kazi katika biashara yako. Inajumuisha mambo kama ya kuajiri, kupima ufanisi/ utendaji, kukuza taasisi, usalama, mafao, motisha, mawasiliano, utawala, mafunzo, na hata kupunguzwa kazini. Kuajiri…

Read More