Makongamano mbalimbali ya Biashara

Taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Uendelezaji biashara Tanzania (TanTrade) wameandaa orodha ya makongamano mbalimbali yatakayofanyika katika kipindi cha mwezi wa Tatu 2018 hadi Mwezi wa sita 2018 kama kiambatanisho kinavyoonyesha.

Kama utapenda kushiriki, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia anwani iliyoambatanishwa

Tafadhali bonyeza hapa kupata orodha kamili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *