Mafunzo haya yameandaliwa kwa ajili ya biashara ndogondogo zilizoko Tanzania. Yanalenga kuwasaidia wamiliki na waendeshaji wa biashara ndogondogo na wawezeshaji wenye uzoefu katika kuendesha mafunzo kwa wafanyabiashara ndogondogo na za kati.