TPSF Inakukaribisha kwenye mkutano na Wafanyabiashara Kutoka China

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania inakualika kwenye mkutano na wafanyabiashara kutoka China utakaofanyika tarehe 22 July 2019 katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam kuanzia saa nane kamili mchana. Lengo la Wafanyabiashara wa China kutembelea Tanzania ni kutafuta Fursa za kiuchumi zilizopo Tanzania.

Makampuni zaidi ya 20 kutoka China jimbo la  Zhejiang. Wafanyabiashara hawa wanatokea katika maeneo ya kiuchumi yafuatayo  Mawasiliamo, Utalii, Viwanda, TEHAMA, Ujenzi na Masuala ya Umeme (Communication/Telecommunication, Tourism, Manufacturing, Mining, Film production, agriculture, ICT, Construction, Electronics etc.)

TAREHE: Jumatatu 22, July 2019 kuanzia saa nane kamili mchana

MAHALI: Hyatt Regency Hotel, Dar Es Salaam

 

Kushiriki ni Bure

Mwisho wa Kujiandikisha 20th July 2019.

Tafadhali BONYEZA HAPA kujiandikisha. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: +255 784 323068 or +255 739 939149, Barua pepel: events@tpsftz.org

KARIBUNI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *