Pesa

Warsha ya mafunzo. wakufunzi walitumia vitini vya kufundishia vilivyoandaliwa na Taasisi ya Skta Binafsi Tanzania

Vitini vya mafunzo kwa wajasiriamali vinalenga kutumika kwa kufundishia wajasiriamali Tanzania. Maudhui yaliyomo yanalengo la kuwasaidia wamiliki wa biashara, watoa huduma mbalimbali na wakufunzi ambao wanaujuzi wa kufundisha wajasiriamali.

Lengo la vitini hivi ni kutumika kama chanzo cha taarifa na maudhui kwa wakufunzi kwa kuwapatia taarifa za kina.

Inatarajiwa kuwa vitini hivi vitatumika kwa lengo la kusaidia wajasiriamali hivyo kukuza ujasirimali nchini.

 

1. Kitini cha mafunzo kwa wajasiriamali wadogowadogo

Kitini hiki kinatumika kama chanzo cha taarifa kwa wakufunzi kwa lengo la kusaidia kukuza ujasiriamali nchini. Kitini hiki kimeandaliwa kwa umakini mkubwa kukidhi mahitaji ya wajasiriamali nchini.

 

2. Kitini cha mafunzo kwa wajasiriamali wadogo

Kitini hiki kimendaliwa kwa wajasiriamali wadogo Tanzania. Kitini hiki kinalenga kutumika kwa kufundishia wajasiriamali Tanzania. Maudhui yaliyomo yanalengo la kuwasaidia wamiliki wa biashara, watoa huduma mbalimbali na wakufunzi ambao wanaujuzi wa kufundisha wajasiriamali.

Lengo la vitini hivi ni kutumika kama chanzo cha taarifa na maudhui kwa wakufunzi kwa kuwapatia taarifa za kina.

 

3. Medium enterprises training manual

This manual  is intended to be used for the purpose of training medium enterprises in Tanzania. It will serve for both owners and operators who are managing small enterprises and facilitators who are experienced in conducting trainings for MSMEs.

Search

Search

More on Access to Finance
Recent News
Poll
Opinion En

Sample Heading

How Useful is MSMEs Information System?

View Results

Loading ... Loading ...