Tuzo za Kilimo zazinduliwa rasmi

Mchakato rasmi wa utolewaji wa tuzo hizo UMEANZA RASMI na kuishia usiku wa Aprili 22, ambapo wakulima, kampuni za masuala ya kilimo, mashirika na mtu au watu walioko wanaweza kushiriki.

Fomu zinapatikana kwenye ofisi za TCCIA nchini na kwenye tovuti www.tuzo.co.tz

Kushiriki kwenye Tuzo ni BURE

Tuzo hizo zinaletwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture, 361 Degrees na PKF East Africa.

Kwa maelezo ya ziada tunapatikana kwenye mtandao wa jamii kupitia @tuzozakilimo #tuzozakilimo  au wasiliana nasi kupitia +255767123055

Kwa Taarifa zaidi Bofya hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *